"Marriage is our last, best chance to grow up."

Saturday, April 12, 2008

Jamaa Ahukumiwa Miaka 18 Jela Kwa Kuambukiza wengine UKIMWI

Carl Leone (32) Jimbo la Ontario Canada;
Amehukumiwa kifungo cha miaka 18 jela kwa kujihusisha na ngono isiyo salama na kuambikiza wanawake 15 virusi vinavyosababisha UKIMWI.
Je hapa Tanzania sheria imekaaje kuhusu watu wanaoambukiza wengine UKIMWI huku wakijijua wameathirika.

No comments: