"Marriage is our last, best chance to grow up."

Friday, April 4, 2008

Weekend Njema na Mke Mwema Hutoka Kwa Bwana

Nakutakia Weekend Njema yenye Upendo, Amani na Furaha Ktk Mahusiano yako na Umpendaye Huku Ukiburudika na Kaka Bonn Mwaitege na wimbo wa Mke Mwema Anatoka kwa Bwana

1 comment:

Anonymous said...

Kazi kama hizi si rahisi sana kupima ufanisi wake lakini ni moja ya kazi ambazo huwezi jua nani anasoma. Kwa hiyo nachukua nafasi hii kukupongeza kwa kazi uliyo ianza naamini na ninauhakika itawasaoidia na kuponya wengi hata wale waliopo ng'ambo ya pili ya this universe.
Ila Bonn kweli alituachia weekend njema,alinifanya nicheke hadi basi!
Ni kweli wanaume uoweni,msijifanye wagumu wakati maisha yanazidi kuwa magumu,kuoa ni haki yetu?