"Marriage is our last, best chance to grow up."

Tuesday, May 6, 2008

Always Love What You eat.
Kuna wengine hata tule namna gani mwili wapi wakati wengine wakila kidogo tu mwili unajibu.
Utafiti ni msingi wa maendeleo yoyote.
Katika nchi nyingi zinazoendelea (zilizogoma kuendelea) tafiti nyingi zinafanya na huwekwa makabatini bila kufanyia kazi na ukiuliza sababu utaambiwa serikali hazina pesa.

Vinyago vinatambulisha utamaduni


Je hapa ni aina gani ya mti unaujua?Watafiti wanasema Kucheka ni dawa basi kuna wakati mtu inabidi upige story tu ili watu mcheke na mfurahi na kupata tiba.
Kuna watoto badala ya kumfundisha yeye ndo anakufundisha pia mazingira ni kitu muhimu sana.
Pia mtoto umleavyo ndivyo akuavyo

Dunia imebadilika, wanawake sasa wanafanya kazi zote kama vile kuwa bibi misitu, kuendesha malori, kuwa marubani nk.
Hivyo mwanamke lazima awezeshwe ili kusaidia kuleta mafanikio katika familia
Kuna wakati unaweza kutembelea sehemu ukatamani ujenge nyumba na kufanya mkazi katika dunia asili

Darasa

Wale wa Njombe je hapa hii miti ina miaka mingapi?
No comments: