"Marriage is our last, best chance to grow up."

Wednesday, May 7, 2008

The Church of Oprah Exposed

Kazi kwelikweli. Ingawa kila mtu ana haki na uhuru wa kuamini na kuabudu kile anataka au anakiamini bado tunahitaji kuwa makini katika kufuata baadhi ya mawazo ya watu ambao kwenye jamii zetu huonekana kama ni role model kwa watu wengi. Ikifika mahali hata Mungu unampinga ni hatari.

No comments: