"Marriage is our last, best chance to grow up."

Thursday, May 1, 2008

Happy May Day 2008

Kutoka kushoto ni Mathew & Tiffany, Kole (mtoto), Danny & Joddy, Lazarus, Lilly (mtoto), Ben & Rachel.
Pembroke Ontario Canada Tunawatakia sikukuu njema wafanyakazi wote mahali popote duniani.
Tunaomba mzidi kujituma kufanya kazi kwa bidii sana huku mkijitahidi kuwekeza kwenye miradi mbalimbali ili kuongeza kipato cha familia bila kutegemea pato kutoka katika chanzo kimoja.
Fahamu pia ipo siku moja utastafu hiyo kazi unayofanya kama umeajiriwa.
je, ni mipango au malengo gani umeweka miaka 20, 30 au 50?
Usitegemee sana kazi yako huko serilakini au kwenye shirika au kwenye kampuni hakikisha unakuwa na chanzo mbadala ili kuongeza kipatochako.
Na kama una business zako kaza buti zidi kujiamini na kama mambo yameenda sivyo kumbuka
failure is a very good teacher
hivyo jipange vizuri unaweza ndiyo maana anafanya hiyo business, muhimu weka mikakati mipya.
Pia ni muhimu kuanza kuweka pesa (saving) leo kwa ajili ya maisha yako ya uzeeni, elimu ya watoto wako pia kwa ajili ya miradi yako na familia kwa ujumla.
Kama unataka kuongeza elimu ay taaluma kumbuka wakati ni sasa timiza malengo yako.
Jiamini, weka malengo pia timiza hayo malengo yako.
Mungu akubariki sana.

No comments: