"Marriage is our last, best chance to grow up."

Friday, May 23, 2008

Kutafuta mchumba kwa Internet

“I will never date a lady through the internet” Watu wengi hutumia mitandao (internet)
(hata zile zinaitwa christian dating sites) kwa ajili ya kujipatia mchumba na hatimaye mke au mume.
Je, ni njia sahihi? kuna hatari yoyote?
Basi Dr Christopher Eric anaapa kwamba hadi kifo hatarudia tena kutafuta mchumba au mke kwa kutumia mitandao.
Nini kimempata?
unaweza kupitia kwenye link ifuatayo

1 comment:

Subi said...

Wajina,
Asante sana kwa kuni-feature posti yangu kwenye blogu yako ya nguvu. Ama kweli umepatia pa kuiweka.

Kaka, blogu hii imejaa elimu ya maisha ya ndoa na mahusiano tafadhali nakusihi usichoke kuandika hata kama huoni maoni ya watu. Sikiza nikupe siri moja tu (japo naiandika peupe hapa), wapo rafiki na jamaa na watu tuliofahamiana mtandaoni wao wamenihakikishia kuwa wanatembelea sana blogu yako na kujifunza na kufurahia mengi na mengine ku-print kujisomea nyumbani.
Usije ukathubutu kuifunga hii blogu. Hili ni kabati/kabrasha/maktaba ya marejeo.

Unaandika katika hali isiyo ya kutusi wala dharau.

Unagusa pande zote mbili za jinsi na jinsia.

PS: Asante kwa kuweka nukta77.com kwenye orodha ya blogroll/linki zako. Nikitizama 'counter' na 'report' ya tovuti/blogu yangu ninakutana na linki zilizobonyezwa toka kwako. (sasa sijui nilikuwa nashukuru kusema asante hadi nione watu wanakuja kwangu toka kwako? yaani nisingewaona watu toka kwako ndo nisingesema asante? ha ha haa, nisamehe kwa kuchelewa tu, bado ningeshukuru)

Kazi nzuri wajina/kaka/rafiki!