"Marriage is our last, best chance to grow up."

Monday, May 5, 2008

Misitu ni mali pia ni investiment nzuri ambayo unaweza ku-create wealth hasa kama malengo yako ni ya muda mrefu kama vile elimu kwa watoto, na wakati ukistaafu kazi, ingawa unahitaji elimu ya misitu ili uweze kufanya vizuri.
(Lazarus & Dave - Forests cruising fieldwork 2008)

Huu mti una miaka zaidi ya 200.
Najua aina hii ya mti (pine) kule Njombe inastawi haraka sana na unaweza kuwa na miaka 25 - 30 tu


Hata kama ni baridi lazima field work ifanywe

Karibu PilauHili ndilo jengo la Bunge la federal Canada (Ottawa)
Nimeambiwa viongozi wetu wa serikali wakija Canada (Ottawa) basi hii ndiyo hoteli ambayo hufikia na kukaa (jengo refu katikati)

Hii ndo mitaa ya jiji la Ottawa na daladala zake


Hapo ndani kuna supermarket kubwa kwelikweli inaunganisha mitaa miwili

No comments: