"Marriage is our last, best chance to grow up."

Saturday, May 10, 2008


Tofauti na miti yetu ya asili ambayo wakati wote ni kijani na hupendeza sana. Kwenye mitaa ya jiji la New York wakati wa winter miti huonekana kama vile imekufa isipokuwa jamii ya conifers


Ndani ya uwanja wa ndege wa Amsterdam


Ubungo terminal ya Ottawa

Nabii hana heshima kwao

Kabla ya kuingia kwenye jengo la UN lazima ukaguliwe kama vile unaingia kwenye ndege hasa kutokana na vitisho vya kigaidi. Pia unaruhusiwa kutembelea ofisi ya UN kama mtalii pasipo tatizo. Hapa ni nje ya sehemu ya kuingia kwenye ofisi za UN HQ (New York)


Mbele ya Jengo la UN HQ (New York)


Jengo Refu nyuma ni Ofisi za UNDP (New York)


Raha ya usafiri wa train za chini ya Ardhi (subway) ni wasanii mbalimbali wanavyoburudisha abiria, unaweza kushinda humo unaburudishwa ila inabidi na wewe utoe tip kidogo


Rockefeller Centre kila mwaka wakati wa Krismas huweka mti mkubwa wa krisimas kuliko yote USA na hupambwa ukapambika.


Nje ya ofisi za CNN usiku

No comments: