"Marriage is our last, best chance to grow up."

Wednesday, May 7, 2008

Ukimuelimisha Mwanamke Umeelimisha Jamii Nzima

Hawa ni wanafunzi wa shule ya wasichana Peramiho - SongeaJUZI Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), lilitangaza matokeo ya mtihani kwa kidato cha sita, yaliyokuja na changamoto mpya katika maendeleo ya elimu nchini, baada ya wasichana kuongoza kwa kufaulu na kuondoa ukiritimba wa muda mrefu wa wavulana.
Kwa matokeo hayo, tuna kila sababu ya kuwapongeza wasichana kwa kuonyesha kwamba hata wanawake wanaweza kufanya vizuri zaidi ya waume, si tu katika elimu, bali hata katika mambo mengine, bila kutegemea nafasi za upendeleo.
Tunaomba jamii iunge mkono kauli mbiu isemayo:
"Ukimuelimisha mwanamke, umeisadia na kuikomboa Ndoa, Familia, Jamii na taifa."
Hii ni kwa sababu, katika jamii zote na hasa za Kiafrika, mwanamke au mama ndiye anayebeba majukumu mazito ya kutunza familia.

Kwa habari zaidi ungana na Mhariri wa gazeti la Mwananchi http://mwananchi.co.tz/newsre.asp?id=5832


No comments: