"Marriage is our last, best chance to grow up."

Monday, May 5, 2008

Winter sasa limeisha tupo na wet spring na huku tukikaribia summer.
Sasa jua linazama saa mbili usiku.
Deep River Ontario CanadaKatika pita pita zangu kwenye nje ya jiji la Ottawa katika mji mdogo wa Deep river nilikutana na hicho kibao kimeandikwa neno "MAMBO" watu wote waliniambia hilo neno halina uhusiano kabisa na kiswahili.No comments: