"Marriage is our last, best chance to grow up."

Wednesday, June 4, 2008

Kusisimuliwa kimahaba

Kila mtu ana maeneo yake muhimu kusisimka akiguswa.
(Picha kwa hisani ya college publishers) Weka kwenye akili zako kwamba forepaly kawaida ni dakika 20 ili kufikia uwezo Mnaouhitaji kwa ajili ya tendo la ndoa linaloridhisha.
Usiwe na haraka, tumia muda kuenjoy pamoja na mpenzi wako.
Pia ifahamike kwamba si kila mtu husisimka sehemu sawa na mtu mwingine, kila mtu anasehemu zake maalumu ambazo zina msisimko kuliko sehemu zingine hivyo ni vizuri kuwa na mawasiliano mazuri ili kila mmoja afurahie maandalizi ya tendo la ndoa
Je ni sehemu zipi za mwili husisimua zaidi wakati wa maandalizi ya tendo la ndoa?
KWA MWANAMKE
KICHWAKwenye kichwa kuna homoni za endorphins zinazofanya kazi ya kutoa raha (pleasure) hivyo mwanamke kuchezewa nywele zake hapo atayeyuka tu, ingawa si wote hujisikia raha.

MIDOMO (LIPS)Kubusu ndiyo mlango wa kwanza katika kuingia katika mwili wake. Lips ndipo mahali ambapo ni kiini cha ubongo kumsisimua mwanamke (Brain’s arousal center).
Kama unajua vizuri jinsi ya kumbusu kwa utundu wote basi ni dhahiri kwamba busu analopata linaenda mbali zaidi na kumpa raha ya ajabu.
Ni vizuri ukajua jinsi ya kutumia ulimi na meno yako vizuri kumfikisha pale anahitaji kufika.
Wanawake wengi hupenda busu na unaweza kutumia muda wa kutosha kubusu kwa kadri anavyotaka, na mwanaume akisisimka rangi ya lips hubaridika na kuwa red zaidi.

SHINGOUsisahau kutumia mikono yako pia, tumia ulimi wako na meno kugusa shingo yake huku ukiongea maneno matamu.
Pia unaweza kubrush lips zako kwenye kidevu chake.

MASIKIOBaadhi ya wanawake hupenda sana kunyonywa masikio, kubusiwa, na kulambwa pia na unaweza kubusu na kunyonya sikio kama vile unavyonyonya chuchu zake ni dhahiri kwamba kama yeye yupo sensitive kwenye masikio basi atapata raha ya ajabu.
Na kile kitendo cha yeye kujisikia unapumua kwenye masikio yake basi ananyegeka.

KIUNOKiuno ni hot spot kwa mwanamke, busu kiuno na tumia mikono yako kukipa mgusu wa kimahaba, tumia ncha za mwisho za vidole kumgusa kama vile una reki.
Usiwe na mikucha mirefu maana unaweza kumuumiza.

MATITI NA CHUCHUHapa kila mtu anajua sana, matiti husisimka sana hasa kama utayachezea vizuri kwa kuyabusu, kuyalamba, kuyanyonya; ingawa ni vizuri kuwa makini na jinsi yeye anavyojisikia na uwe makini kujua yeye anataka ufanye vipi.
Wataalamu analinganisha kusisimka kwa chuchu ni sawa na kisimi hivyo ni muhimu kutumia utundu wote kumpa raha mpenzi wako hasa kama chuchu zake ni sensitive na zinampa raha zaidi.

TUMBOWakati unaendelea kumbusu kila sehemu ambazo unaona anapenda, unaweza kuendelea kuchezesha ncha za vidole vyako kwenye tumbo lake huku ukichora duara kwenye kitovu chake na kwa utundu na kuzunguka tumbo, wapo wanawake hupata raha sana kwa kitendo hiki.

NYUMA YA MAGOTI NA MAPAJA Nyuma ya magoti kuna nerves na unaweza kushangaa mwanamke anavyojisikia raha kwa kupata busu, hasa busu la kipepeo.
Pia sehemu za mapaja ni sensitive kama utabusu, massage na kupitisha vidole kwa utundu (caress) wa kumpa raha.
Usipokuwa makini unaweza kuona anakulazimisha upeleke mkono kwenye machimbo haraka iwezekanavyo kwani atakuwa tayari ameshaanza kuzidiwa.

MIGUUWanawake wengi hupenda miguu yao kuguswa (touch) massage na wengine kubusu au hata kuinyonya.

MATAKOWanawake wengi hufurahia kuchezewa matako kwa kuyafinyangwafinyangwa.

MGONGOWapo wanawake hufurahi sana kufanyiwa massage na caress kwenye mgongo, anaweza kulala au wewe kuwa nyuma yake na tumia ncha za vidole vyako kuhakikisha unampa mguso wa uhakika kama vile una reki kutoka juu ya mgongo mabegani hadi chini kabisa kiunoni.

SEHEMU ZA SIRIHapo kuna uke na kisimi na ni dhahiri unajua nini kinatakiwa kufanywa hapo

KWA WANAUME
Wengi hudhani mwanaume ana sehemu moja tu ya kusisimuliwa kimpenzi yaani uume, labda kwa sababu wao mara nyingi umeme huwaka haraka mno na kusababisha sehemu zingine zisivumbuliwe, unahitaji kuwa mbunifu ili uweze kuwasha moto unaotakiwa hasa kwa ajili ya foreplay.

KICHWAHapa tunazungumzia kichwa kilichopo juu ya shingo, wapo wanaume ambao unapopitisha vidole vyako laini ndani ya nywele zake kichwani hujisikia kusisimka sana hata kama anakipara wapo ambao ile kuguswa tu (massage) hupata raha kubwa sana.
Kibaolojia kwenye kichwa kuna homoni inaitwa endorphions inayohusika na kutoa raha kwa kuguswa (massage) hufanya kazi unapofanya hicho kitendo.

MASIKIOUnaweza kubusu au kunyonya masikio yake taratibu then angalia ana respond namna gani. Pia unaweza kumnong’oneza au kutoa sauti yoyote unayoijua wewe ndani ya masikio yake na chunguza kama anapata raha au la.

MIDOMO YAKESi kubusu tu bali pia unatakiwa kuienzi na kuendelea kuvumbua kuona ni jinsi gani anaweza kupata utamu zaidi kwa hizo lips zake.

SHINGOBusu shingo yake pande zote na pia unaweza kubusu kama unanyonya (lick) vile shingo yake, hakika atapenda.

MGONGOWanawake wengi hupenda wanaume wenye misuli ya uhakika mgongoni na kifuani, lakini wakiwa faragha hawaifanyii chochote hivyo kifua na migongo yenye misuli, unahitaji kumpa massage au kumbusu mgongo wote kuanzia juu ya mgongo kupitia uti wa mgongo hadi chini.
Uti wa mgongo una nerves nyingi na ukifanya kwa ubunifu basi raha atakayopata ni ya ajabu.

MIGUUWanaume wengi huwa hawajisikia vizuri kubusiwa au kufanyiwa massage miguu yao, hiyo inatokana na yeye mwenyewe alivyo, kitu cha msingi uliza kama anapenda au la kwani kuna wengine hujisikia raha sana.

SEHEMU ZA SIRIHuko unajua nini kinatakiwa na malizia mwenyewe!2 comments:

Subi said...

Wajina, kuhusiana na habari hii ya leo, Je, wajua wapo wanao sisimuka kwa kupitia mikono? (kiganja ama sehemu nyingine za mkono) na wengine kitovu?

Mimi nakuomba fanya jambo moja, tunga swali ambalo litatoa nafasi ya mtu kuchangia jibu, swali lenyewe liwe mfano; "Je! ni sehemu gani ya mwili wako husisimuka kwa mguso wa kimapenzi?" au la kufanana na hilo. Watu tunatofautiana na pamoja na maeneo uliyotaja, bado wapo watakaokuwa na ziada. We jaribu tu kuuliza. Na huenda hii itasaida wengine wasijione kuwa wana kasoro. Wengine watajitambua. Alimradi blogu hii haifi, hili swali litaendelea kujibiwa hadi miaka ijayo kadiri watu watakavyokuwa wanaigundua blogu yako na kuperuzi yaliyomo. Usishangae mwaka 2010 mtu akajibu swali la wakati huu, ndiyo maisha na vijana wanakua na kutafuta kujifunza jinsi ya kuimarisha mahusiano ya mapenzi/ndoa (kwa adabu na hekima ya kujifunza elimu). Ukweli ndiyo huo, vijana huchokoa habari hizi, ni bora wakazisoma kwa uzuri kuliko kuzitafuta sehemu za kupotosha, hala hala ngono zembe ni dhambi na pia huhatarisha maisha!

PS: Wajina, tunaomba somo la jinsi ya kuridhishana kwa watu wa umri wa miaka 55 na kuendelea kwani katika umri huu, akina mama wengi wanakuwa tayari vichocheo vya msisimko vinakuwa vimepungua, jambo ambalo ni kisingizio cha baadhi ya akina baba kwenda zao kuserebuka na ndito.

Hapa inatakikana iweje ili kuzuia akina baba wengi wasiende kuchovya huku na kule na pengine kuishia kudaka Virusi Vya UKIMWI na kisha kuvileta ndani kwa mama/bibi ambaye sasa anaonekana si mali kitu nyumbani?

Lazarus Mbilinyi said...

Dada Subi,
Asante sana kwa comments zako, Ni kweli kila mtu ana design yake ya kusisimka kimapenzi na hilo swali ni muhimu sana, hapo nimejaribu kutoa sehemu ambazo mtu anaweza kusisimka kwa ujumla ingawa naamini mawasiliano mazuri wakati wa shughuli yenyewe ndo muhimu zaidi, ni vyema sana kumwambia mpenzi wako nini unafurahi afanye katika mwili wako na pia ni muhimu sana mtu kuufahamu vizuri mwili wako kujua likija suala mla kusisimka kimapenzi wapi kwako pamakupa raha zaidi.
Kwa wale wa zaidi ya miaka 50 naamini somo litakuja mapema hapo baadae.
Ni kweli suala la mahusiano ni muhimu sana hasa kwa vijana ambao wanahitaji kupata na kujua msingi ya mahusiano maana bila ufahamu ni kujenga nyumba juu ya mchanga na dhoruba ikija kamwe haitasimama....

Daima pamoja.