"Marriage is our last, best chance to grow up."

Tuesday, June 10, 2008

Mama zetu vijijini

Mama akitumia nguvu zake zote kujitwisha mzigo mkubwa wa kuni katika kijiji kimoja mkoani Tanga ambako nishati pekee ya nyumbani inatoka na mazao ya misitu.

1 comment:

Fikirikwanza said...

Kweli hatupaswi kuwasahau wazazi waliopitia katika mazingira haya. Ukiwa nje inaonekana kma kitu cha ajabu lakini ukiwa wangama ofcourse kutengeneza mdemba mrefu kinaonekana ni kitu cha maana. Nafikiri maisha kama haya yamewapa watu unyonge kiasi fulani kaisi kwamba hawaoni solution nyingine zaidi ya ile. Si unakumbuka midemba ile ya nyang'uhu jinsi ambayo unafika umechoka kiasi cha kutofikiria kitu kingine chochote zaidi ya kulala tuu.Pengine jamii zetu zinahitaji ukombozi kifikra kuliko vile ambavyo tunafikiria. Linatkuwa ni jambo jema kupiga marufuku sekiyao kubeba mzigo kama huu.
Thank you.