"Marriage is our last, best chance to grow up."

Friday, June 13, 2008

Raha ya hesabu ni ku-proove

2 comments:

Subi said...

Mara ya kwanza kuiona hii video (mwaka jana) nilicheka mbavu zangu hoi...
Utawaweza wazee kwa ubishi? Thubutu upoteze muda wako. ha ha ha

Lazarus Mbilinyi said...

Wajina,

mwenzio hadi kesho yaani nikitaka kupata afya kutokana na kucheka basi naangalia hii video, unajua yule mwenye kulianzisha alishindwa na wake wazee na alikasirika sana,

Sasa sijajua wewe uta proove vipi maana wale wazee kiboko hata upinde vipi na njia zako na wenyewe wanakudaka hukohuko!
Patamu hapo