"Marriage is our last, best chance to grow up."

Tuesday, June 24, 2008

Style Mpya ya NyweleSource: Mtandao

2 comments:

Subi said...

Hii ni kali ya mwaka. Ndiyo kupenda wanyama au? Heri mimi sitaiweka staili hiyo.

Lazarus Mbilinyi said...

Mmmm!
Zingine style ukiweka watu wanaweza kukukimbia,

Ingawa kitu muhimu kila mtu ana style yake nahisi wajina hizo style zako ni nzuri zaidi kuliko ukiamua kuchukua hizi mpya pia unabidi umuulize ur man anafurahia ukiweka style gani,

Upendo daima.