"Marriage is our last, best chance to grow up."

Sunday, June 15, 2008

Tabasamu

Mkiwaona mahali popote wape salamu zao hawa watoto Maana wamependeza si utani.
Posted by Picasa

3 comments:

Subi said...

Huyu mvulana ni mwanao, ama unabisha? Ni chapa yako hiyo kwa hivyo "Happy Father's Day" wajina.

Lazarus Mbilinyi said...

Wajina
Wewe ni kiboko umejuaje, ni kweli ni mwanagu na kwa sasa namsubiri naamini baada ya wiki mbili zijazo nitakuwa naye hapa hivyo kummiss kote kutaisha.

Asante sana father's day ilikuwa nzuri sana.

Upendo daima

Subi said...

Wajina sikiza,
Wewe ukipotea, huyu mtoto tutamchukua na kumsimamisha hapo barabarani, basi uhakika ni kwamba, kati ya wapita njia kumi, watano watasema wanakufahamu wewe, yaani hapo ndipo ujue ni kwa kiasi gani mtoto amekufanana, nhi hi hii..
Siku njema wajina!