"Marriage is our last, best chance to grow up."

Saturday, June 14, 2008

Tunawasalimia!

2 comments:

Anonymous said...

Hallo vipi mzima.
Inamaana rafiki zako ni wazee tuu kila siku picha zako upo na vizee.
Lakini mmependeza sana .

Twivulunge.

Lazarus Mbilinyi said...

Mzee Twivulunge usinichekeshe,

Hata hivyo hawa wazee ndo wenye hekima na busara pia vijana kanisani hawapatikani (church is not fun for them) ndo maana ukinikuta na picha ya kanisani vijana ni nadra.

Wasalimie wote huko, ulikuwa kimya nikahisi lile bomu la Al queda moshi wake ulikukuta hapo Algers.