"Marriage is our last, best chance to grow up."

Saturday, July 26, 2008

Jana niliamua (mimi na familia yangu) kumtembelea rafiki yangu Frank anayeishi mji mdogo wa Deep River Ontario.
Lengo lilikuwa kunionesha jinsi portable sawmill inavyofanya kazi. Lazarus, Gloria na Emmnuel
Ofisi yetu tukirudi kijijini


Hapa tunajifunza kupasua ubao wenye Quality ya juu.

Lazarus, Gloria na Emmnuel Kila mtu anaondoka na ubao wakeKila mtu na hoby yakeFamilia tuliyoitembelea

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

kutembele marafiki ni vizuri. Nadhani watu ngi wanahitaji kwa sababu kwanza unapata mawazo na kubadili mawazo. endelea hivyohivyo.

Lazarus Mbilinyi said...

Ni kweli dadangu Yasinta,

Kutembeleana unajifunza mambo mengi. Pia inajenga upendp si wa wale wanatembeleana tu bali hata wewe unayetembelea.

Fikirikwanza said...

Nilichukua time kidogo kujua kuwa ni nyie naona mmeulamba kicanada kabisa ,lakini tafadhali msisahau kwenu ni ikelo wangama,chaula maji inawasubiri ,kama mzee jeremiasi hajaa.

Semkanyu hongera sana na ima naona mmesha yawezea maisha ya hapo.

basi mkichoka karibuni kwetu ,ila waoga kama ninyi sidhani kama mnaweza kuja?
likizo njema.

Lazarus Mbilinyi said...

Fikiri Kwanza!

Hicho kifaa naona hata Chaulamaji haoni ndani kwani nikifanikiwa kufikisha Ikelo maana yake nimepiga ndege kumi kwa jiwe moja.

Si muda mrefu utanikuta Mitaa ya Ikelo Wangama nadunda na Tractor langu.