"Marriage is our last, best chance to grow up."

Wednesday, July 16, 2008

Ndivyo wanavyosema!

Wakati mwingine tairi la baiskeli linapojazwa upepo hupiga kelele sana, sijui kwa nini? Asilimia 60 ya wanawake na asilimia 69 ya wanaume wamethibitisha katika Utafiti kwamba kujaribu aina mpya ya mkao wakati wa kufanya mapenzi huongeza kuridhika kwa tendo la ndoa. Hizi takwimu ni baada ya kuwafanyia Utafiti wanawake na wanaume 1,000
Source: Katy Zvolerin, spokesperson, Adam & Eva

Mwanaume kufanya sex mara kwa mara humsaidia kuzalisha sperms bora.
Hii ni baada ya kufanya Utafiti kwa wanaume 6,000 ambao walikuwa hawafanyi mapenzi zaidi ya wiki mbili na kuendelea.
Ilionesha kwamba 1/3 ya hao wanaume, sperms zao zilipopimwa zilionesha mabadiliko ya shape na ubora tofauti na wanaume ambao walikuwa wanaendelea na tendo la ndoa kila siku.
Source: Eliabu Levitas, MD Fertility Specialist Soroka Medical Center, Israel.

Sex huongeza uwezo wa ubongo kufanya kazi kwa maana kwamba unapofanya sex unaongeza uwezo wa mwili kuzalisha homoni za lactin zinazosaidia kuzaliana kwa seli mpya za ubongo zinazowezesha ubongo kuwa na uwezo zaidi.
Source; Samuel Weiss, PhD, neurological stem cell biology expert, university of Calgary Canada


Mwanamke anapokuwa amesisimka uke hupanuka na urefu wake huongezeka pia kitendo kinacho create vacuum kwenye uke. Wakati wa sex hewa husukumwa ndani na kunasa huko na wanavyoendelea na tendo la ndoa hutokea msukumo na mgandamizo ambao husababisha kelele za ajabu. Si kelele za mdomoni wala kitanda bali kelele cha uke kama vile tyre la baiskeli linavyopiga kelele wakati mwingine linavyojazwa upepo kimaridadi kabisa.
Hivyo ni jambo la kawaida na haina haja kubabaika ukiona huko chini kunapiga kelele wakati mumeo anachimba madini kwenye huo mgodi ni kawaida, si ugonjwa wala kitu cha kushangaza.
Keep on enjoying.
Source: Muuliza swali kutoka duniani!

No comments: