"Marriage is our last, best chance to grow up."

Wednesday, July 2, 2008

Ni Mwili mzima!

Uyoga mwingine unaota vibaya hadi unachanganya!
Pole mama!! Wanaume kisaikolojia wengi ni genital aroused, hata akiwa na Mwanamke anaweza kusisimua matiti na uke tu, wanawake wao ni generally aroused kwa maana kwamba kwao foreplay ni mwili mzima na mwili mzima kwake ni one big sex organ na Mwanamke anahitaji kujua hilo kabla ya kukimbilia kwenye matiti na kule bondeni kuchimbua gold.

Kwa Mwanamke erogenous zones si matiti na between the legs bali ni entire body, huwa Inaumiza sana wakati mwingine Mwanamke anakuta mwanaume hata kukisi tu anasahau na moja kwa moja anakimbilia kwenye clit .. kwa kuwa ni joy button, ni vizuri lakini unahitaji kuuandaa mwili mzima kwanza hadi mind yake ufunguke na kuwa ready kwa shughuli ili kuwa na nice sex.
Wengi katika kujifunza masuala ya mapenzi (hasa wanaume) na hasa suala la kufanya maandalizi (foreplay) anajua kitu cha msingi ni kwenda moja kwa moja kubusu, kuchezea matiti kidogo (geresha tu) then anakimbilia bondeni na kuanza kupima kuona kama kuna unyevu wa kutosha ili mtambo uanze kuchimbua dhahabu huku anasahau kwamba lazima mwili mzima kuanzia mind uwe tayari kwanza.
Hii hupelekea sex kuwa na utaratibu unao bore ambao mwisho husababisha Mwanamke kuepukwa sex kwani anajiona unamtumia kutimiza raha yako bila kumpa yeye raha.
Kumpa mguso (emotional touch) kwa kumhudumia mwili mzima ambao kwa mwanamke ni kiungo kimoja cha mapenzi ndiyo jibu.

Pia kuna wanawake ambao maumbo yao huwa na kasoro kama unene sana, au kifua Kuwa flat kama mwanaume au matiti kuwa makubwa mno (Nido au mtindi), huwa hawajisikii vizuri au kutojiamini (bad self image) na huwa na mtazamo negative so akiona wewe ume concentrate hapo hasisimki so hapo inabidi uwe makini na sehemu zile ambazo yeye anajisikia vizuri na raha na yeye.
Pia utafiti unaonesha kwamba wanaume wengi waliooa ni wagumu sana lipokuja suala la kubusiana na wake zao wakati wa maandalizi ya tendo la ndoa, wengi inajulikana kwamba walikuwa wazuri sana kubusu wakati ndoa zilikuwa mpya na miaka inavyoenda basi wanazidi kupunguza skills na muda wa kubusu ingawa wanaonekana kwa sex ndo wenyewe skills zimeongezeka.

No comments: