"Marriage is our last, best chance to grow up."

Wednesday, July 30, 2008

Salaamu

Naitwa Emmanuel Lazarus, Napenda kuwapa salamu za dhati shangazi yangu Rehema Lupembe, Tumaini Mbilinyi, mama yangu Mkubwa Mama Noel wote wakiwa Tanzania.

Pia napenda kumsalimia Baba yangu mdogo Elly Mbilinyi akiwa Algeria, Anti Ashura Mbeyu akiwa Merphis Tannesse, Anti Subira (Binti nisipitwe) mahali popote alipo, babu na bibi wakiwa Njombe, bila kumsahau rafiki yangu mpendwa Jona akiwa Kimara Dar es salaama Tanzania.


Ujumbe: Watoto tuwe na tabia njema tusipigane

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hata mimi natuma salam kwako pia jina langu ni Yasinta natoka songea. nashukuru kwa ujumbe mzuri ulioutoa kwa watoto.Ni kweli kabisa si vizuri kupigana. msalimie mama na baba

Emmanuel Lazarus said...

Asante sana kwa salamu anti Yasinta.
Pia salamu zako nimezifikisha kwa baba na mama.
Naamini hapo wapo watoto wenzangu naomba majina yao na pia waambie nawasalimia sana na nawapenda sana.

Asante kwa upendo wako kwa watoto kama sisi.

Emmanuel

Yasinta Ngonyani said...

Ndiyo hapa kuna watoto tena wameipenda sana baiskeli yako na wao wanasema wanakupenda sana ni Camilla na Erik

Emmanuel Lazarus said...

Asante sana kwa kuniunganisha na rafiki zangu Camilla na Erik, siku nyingine naomba unitumie picha zao kwani naamini sisi si milima ipo siku tutakutana na kufahamiana hata tukiwa wakubwa.

Ubarikiwe

Yasinta Ngonyani said...

Ni kweli kabisa nitatafuta picha na nitakutumia. Amen

Fikirikwanza said...

Bonjour mswamu twivulunge
Comment tu va,j'espere que au canada c'est beaucoup mieu que en Tanzanie,mais il fault oblie que kwenu ni kwenu?