"Marriage is our last, best chance to grow up."

Friday, July 25, 2008

Tendo la ndoa katika Umri Mkubwa

Je, wazee wenye umri mkubwa bado huwa hamu kubwa ya tendo la ndoa?
Utafiti wa sasa unaonesha kwamba jinsi mtu anavyozidi kuwa mzee uwezo wa kuonja, kunusa, kusikia na kuona hupungua.
Pia uwezo wa kusisimuliwa kwa kuguswa hupungua pia.
Kiasili uwezo wa kusisimuliwa kimapenzi na uwezo wa kufanya tendo la ndoa pia hupungua (libido)Pia Utafiti unaonesha kwamba uwezo wa kufanya mapenzi huweza kupunguza kutokana na umri kuwa mkubwa ingawa pia umri kuwa mkubwa hauwezi kuzuia kabisa hamu ya tendo la ndoa (terminate)

Kuna ripoti kwamba wanaume na wanawake wenye umri wa miaka 50 hadi 80 bado wana hamu kubwa ya kufanya mapenzi (libido) na si kufanya tu bali kufurahia mno tendo lenyewe.

Tutaendelea .............................................................

No comments: