"Marriage is our last, best chance to grow up."

Friday, August 8, 2008

Happy Birthday Lazarus


Leo ni siku yangu ya kuzaliwa yaani tarehe 8 mwezi wa 8 mwaka 2008(8-8-8).
Inajulikana ni siku ya bahati
(Wealth and Fortune)

Nawakaribisha kwenye hilo Jumba kwani siku nzima ya leo
(all 24hrs)

Nitakuwa humo ndani (kwenye jumba) nikisherehekea siku hii maalumu.


Happy birthday Lazarus

8 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hii jamani Happy birthday sana ila ni kweli umezaliwa 2008. Sikujua ningekutumia hongera mapema

Lazarus Mbilinyi said...

Dada Asante sana,
Mwenzio Ni mkulima pure na leo tunajirusha kwelikweli.
Ila ni siku ya tofauti sana yaani sherehe ni saa 8 na dakika 8 terehe 8 mwezi 8 mwaka 2008 haitatokea tena karibuni.

Pia ni siku ya bahati leo ndoa nyingi sana zimefungwa na Huko China Olympic Games imefunguliwa kama una cheza bahati nasibu basi leo cheza maana uta win tu.

Upendo daima

Yasinta Ngonyani said...

inaonekana uliplan sana. Je tukija huko kuna ulanzi kwani najua Njombe kuna ulanzi sana.

Lazarus Mbilinyi said...

Nilihisi watu wa aina yako watauliza je Ulanzi upo:

Nimeandaa Nyamtutu ya uhakika wewe Njoo tu kwani leo ni leo asemaye kesho ni mwongo, mapochopocho kibao na kama unajua kuduva (dance) basi hakikisha mifupa ipo imara.

Kila kitu bureeeeeeeeeeee

Karibu Dada!

Fikirikwanza said...

he!! jamani hizo nyamtutu ni dhambi kabisa,hata kama ni ya Ilindi au fwilo kwa fungamtama. Huko nasikia ukiwaletea ngadule wanaweza wakasahau hata kurudi kwao.
Ila wanyalukolo tumezidi tunaulizia ulanzi hata net?
googbye.

Mary Damian said...

Jamani sikujua. Lakini Hepi-birthday

Mary Damian said...

Jamani sikujua. Lakini Hepi-birthday

Lazarus Mbilinyi said...

Asante sana dada Mary,

Nashukuru Mungu na mimi nazidi kudunda tu.