"Marriage is our last, best chance to grow up."

Sunday, August 24, 2008

Hosanna

Nawatakia Jumapili njema kwa music wa Injili (DRC)

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

amen. Ndili mugati wa yesu ndi kunoma.

Lazarus Mbilinyi said...

Na yuveve Wingile Winome be!
wiyangasule!

Yasinta Ngonyani said...

hapo kaka umeniacha kwenye mataa sijaelewa be

Lazarus Mbilinyi said...

Pole sana dadangu nilidhani kibena kinapanda mia kwa mia.

Hapo nilikuwa naendeleza tu ile chorus ya Ndilimugati mwa Yesu ndi kunoma, sasa ili ufaidi nikasema Ingia na wewe ufaidi na upate raha kuanzia utosini hadi kwenye kucha za miguu.
Si unajua utamu wa ngoma ingia ucheze.

Anonymous said...

Kaka Mbilinyi Juma pili sikubarikiwa kuusikiliza ila ndo umenifungia kazi Leo juma tatu. Hakika wimbo ni mzuri ila ni ngumu kidogo kuelewa yote, Ila ubarikiwe.
Msafiri