"Marriage is our last, best chance to grow up."

Thursday, August 28, 2008

Je, ni kweli huyu mtu baada ya Kuutwika (Kulewa pombe) alizikatakata nyanya sambamba na vidole vyake?
kama ni kweli basi hii kali kwelikweli.

Mara nyingi ulevi umekuwa kiini cha matatizo mengi ya ndoa, familia na jamiii hata taifa.

Source: Email (mtandao)

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

hicho chakula wasinikaribishe kabisaaaaa. kakosa viungo au anataka kuongezea mboga nini. kazi kwelikweli

Lazarus Mbilinyi said...

Kwanza naamini hakufanikiwa kukuandaa kwani tayari hana mkono wa pili baada ya kukatakata kama nyanya, nahisi hata pombe zilimuishia.

Hiyo kweli kazi kwelikweli.

Anonymous said...

MMMMMMMMMMM Ni kweli yametokea haya Sijaamini bado!!!!!! Siku njema.
Msafiri

Anonymous said...

Bado najiuliza kitu huyu mtu baada ya kujikata alisubiri tuuuuuu na maumivu yake ili mtu aje ampige picha????!!!!!! Niwatakieni jioni njema
Msafiri