"Marriage is our last, best chance to grow up."

Monday, August 11, 2008

Kazi kwelikweli
Watoto wa siku hizi kazi kwelikweli, sasa hapo hawajafika ule umri wa uteenager.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

NI kweli kazi kwelikweli maana hapo naona wapo makini kweli. Mmhh wameanza mapema mno

Lazarus Mbilinyi said...

Unakumbuka enzi zetu, yaani mkikutwa mkao ovyovyo mtu yeyote pale kijijini aliwashukia kwa bakora za uhakika.
Pia watoto wanaangalia sana watu wazima wanafanya nini kwenye jamii, ndo maana tutoto kama hutu pia tunafanya yale wakubwa wanafanya. kazi kwelikweli

Yasinta Ngonyani said...

We kaka nakumbuka sana kwani mpaka ufanye hivyo ujitaki. Halafu ni kweli kabisa huku tutoto tunaangalia sana watu wazima wafanyavyo pia TV. Nakuambia sasa mpaka tototo tunajua watoto wanatoka wapi enzi zetu hakuna hiyo ukiambiwa mtoto ananunuliwa unaamini.