"Marriage is our last, best chance to grow up."

Tuesday, August 26, 2008

Kutahiri Wanaume

Ukianza kujadili issue ya wanaume kutahiriwa huwa ngumu kama vile kujadili mambo ya siasa na dini.

Wapo watu wenye kukereketwa sana na suala la kutahiriwa na wengine hawana maoni kabisa na hawaoni umuhimu wowote.

Ukweli ni kwamba suala la kutahiriwa ni maamuzi ya wawili mke na mume waliokubaliana kuoana na kuishi pamoja na kufurahia maisha ya ndoa yao, iwe kutahiriwa au kutotahiriwa.

Kwani suala la kutahiriwa limeweka misingi zaidi katika dini na tamaduni za watu kuliko masuala ya Medical.

Kutahiriwa ni nini?

Kutahiri (circumcision) ni neno la kilatini linalotokana na maneno mawili yaani circum (lenye maana ya mzunguko) na ccedere (lenye maana ya kukata)

Hivyo nasi kutahiri ni kukata mzunguko wa ngozi iliyo mbele ya uume.

Kutahiri ni suala la mila na dini na hakuna ubaya wa kutahiriwa na hakuna ubaya wa kutotahiriwa.

Ni lini mwanaume hutahiriwa?
Kutahiri kwa kawaida kunafanyika wakati watoto wa kiume wakiwa na umri mdogo.

Katika baadhi ya mila za Kiafrika, kutahiriwa kunafanyika mvulana anapobalehe na inakuwa kama sehemu ya mafunzo ya jandoni, anapokuwa mwanamume halisi, yaani mtu mzima.

Wanaume wengine huja kutahiriwa baada ya kushauriana na wachumba zao kabla ya kuoana.

Zipi ni baadhi ya faida za kutahiriwa

Usafi na kuepuka magonjwa ya kuambukiza kama vile urinary tract infections (UTI).

Pia inaaminika wanaume ambao wametahiriwa huweza kupunguza maambukizo ya HIV/AIDS (asilimia ndogo sana kama, kutahiriwa si kinga ya kuambukizwa UKIMWI)

Pia wanaume waliotahiriwa huweza kupunguza uwezekano wa kuugua aina ya cancer (penile)

Hupunguza uwezekano wa kuambukizwa magonjwa ya zinaa.

Faida za kuwa na uume usiotahiriwa.
Uume huonekana mrefu zaidi kuliko ule ambao umetahiriwa hivyo kujisikia raha hasa katika suala zima la kumsisimua mwanamke (penetrative sex).
Katika asili, ngozi inayofunika uume (gomvi) husaidia kuzuia sehemu ya ndani ya uume kupata michubuko na kukauka na kupata contamination na kutahiriwa hupunguza hisia (sexual sensation, pleasure, fulfilment) wakati wa sex.
Ngozi inayoondolewa (govi) husaidia kupisha damu kuzunguka vizuri kwenye uume hasa wakati wa sex hivyo kuiondoa ni kuharibu utendaji wa uume.

Je, mwanaume kutahiriwa husababisha kuchelewa kufika kileleni?

Utafiti unaonesha mwanaume aliyetahiriwa uume wake haupo sensitive sana hivyo huweza kuchelewa kufika mapema (ejaculation) ukilinganisha na yule ambaye hajatahiriwa.

Pia mwanaume aliyetahiriwa huweza kumkuna vizuri mwanamke kwa kuwa rim (mzunguko ulio chini ya kichwa cha uume) hutoa msuguano mzuri wakati wa tendo la ndoa.

9 comments:

BRAYAN said...

I think thi is somehow complicated but,
Nafikiri kutahiriwa ni mapokeo tuu ambayo tumeyapokea tuu bila kujua faida wala hasara kwani jamii zetu zimepokea vingi kutoka kwenye vizazi vya zamani na hata vitabu vya dini. na ndio maana kuna makabila mengine hawatahiriwi.

Anonymous said...

MMMMM Hapo nimekuelewa ila nina swali dogo sana kwako kaka, UKIWA NA MCHUMBA MSICHANA MZURI SANA KWA KILA KITU BAADA YA KUJA MUOA NDO UNAJUA KUWA NAYE ALITAHIRIWA UTAFANYAJE? Ni haki kwao kutahiri? Msafiri

Lazarus Mbilinyi said...

Kaka Msafiri,
Suala la mwanamke kutahiriwa kwanza wanawake hawatakiwi kutahiriwa (hiyo ni mila potofu na kinyume cha haki za binadamu) na kwa swali lako kwamba baada ya kumuoa unakuja kuta ametahiriwa naamini yeye hana kosa na mtajadili wewe na yeye kwani hata yeye hakupenda kutahiriwa.
Ingawa kama huyo mchumba wako mzuri alikuwa wazi kwako mlitakiwa kujadili hiyo topic kabla hamjaoana. Hata hivyo mapenzi ni zaidi ya kutahiriwa, isikuumize kichwa.

Anonymous said...

Sikuwa na nia mbaya kusema hivyo ila kuna rafiki yangu alimuacha mke wake baada ya kujua kuwa alikuwa katahiriwa, Cha kunishangaza ni kuwa alikuwa akifurahia sana mapenzi kabla baada ya kujua aliona si sahihi kuwa nae swali lilikuja kwangu ni hisia zake au ni ukatili na uzalilishaji?
Msafiri

Lazarus Mbilinyi said...

Kaka Msafiri,
Huyo kaka alikuwa ni katili tu na labda alikuwa na sababu zingine na hakufanya jambo la busara kumuacha mke eti kwa sababu ametahiriwa.

Anonymous said...

Kaka, kuna baadhi ya wanaume wametahiriwa nusu yaani ile ngozi bado ipo uume unachungulia kiduchu, na watu kama hao katika sex wakoje?

Lazarus Mbilinyi said...

Kama ngozi ipo (govi) maana yake ni sawa tu na yule ambaye hajatahiriwa.
Sijawahi sikia mwanaume anatahiriwa nusu.

Nitaendelea kutafiti na nikipata majibu nitakutaarifu.

Upendo daima

Robert said...

Mimi nimetahiri nikiwa mkubwa na nikakosa utamu wa ngono ikilinganishwa na wakati kabla sijatahiri!!!

manirageorge@yahoo.com said...

Mwanaume mkubwa akitahiri anakosa utamu wa kutombana. Niulize nikwambie kaka na dada!