"Marriage is our last, best chance to grow up."

Monday, August 11, 2008

Maneno Ni Dawa

Dada Mercy Mutahi akifurahi baada ya kupata maneno matamu.


Maneno yana nguvu ya kuumiza (hurt) na kuponya (heal).

Maneno ni tiba ya ajabu ambayo mwanadamu amekuwa anaitumia.
Kwa mfano ukiambiwa
Thank you,
I have faith in you,
You did a great job,
I am proud of you,
I love you,
I need you,
I miss you,
I respect you,
Kama ni maneno yanayotoka kwa mtu unayempenda basi moyo hupata tiba ya ajabu.

Je, mara ngapi umempa maneno matamu na mazuri mpenzi wako au mke wako au mume wako au rafiki yako hata watoto wako au mfanyakazi mwenzako?No comments: