"Marriage is our last, best chance to grow up."

Monday, August 4, 2008

Ni Kama kuwasha Umeme

Hapo umeme ukiwaka sijui itakuwaje?

Ingawa sex hufanyika between the legs ukweli ni kwamba hisia za utamu wenyewe asili yake ni between the ears.
Ubongo ni center ya nguvu ya kufanya sex na mawazo na ili sex ifanyike lazima kuwa na flow ya hii nguvu kutoka kwenye ubongo kwenda mwili mzima.

Macho, lips, ulimi, chuchu, mikono, ngozi na sehemu za siri ni viungo vinavyopitisha nguvu ya sex (feelings) kutoka kwenye ubongo kwenda mwili mzima kupitia mfumo wa fahamu wa mwili.
Pia hii nguvu huweza kusafirishwa kwa kupitia majimaji kama vile jasho, mate, majimaji ya kwenye uke (vaginal juice na semen.

Uzoefu wa kusafirishwa kwa hii nguvu ya sex kutoka kwenye ubongo kwenda mwili mzima ni jambo linaloleta raha sana. Wakati kila kiungo kinaanza kusisimka ubongo hupelekea taarifa za damu kwenda na kujaa sehemu muhimu zinazohusika moja kwa moja na raha ya sex kama vile uume, uke, chuchu nk.
Hii damu inayosambazwa kwenye hivi viungo huwa na oxygen ya kutosha ambayo husababisha mfumo wa fahamu kuwa charge na hapo ndipo mwili huanza kutoa juice tayari kwa tendo lenyewe na mwili mzima sasa huwa na umeme wa kutosha hata kusababisha kubadilika jinsi ya kupumua na hata sura na sauti.

Tutaendelea!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

No comments: