"Marriage is our last, best chance to grow up."

Friday, August 15, 2008

Nyepesi!

Mwanaume akifika kileleni starehe yake huisha baada ya muda wa sekunde 6 wakati mwanamke ni sekunde 23 hii ina maana kwamba kama wanawake wanataka usawa basi wanahitaji kuhakikisha wanaume wanafika kileleni mara 4 kwa wao kufika mara moja.

Kuna aina mbili za uume ya kwanza ni ule ambao ukisisimliwa hutanuka (grower) na aina ya pili ni ile ambayo huonekana mkubwa kabla ya kusisimuliwa na ukisisimka hauongezeki (shower)
Utafiti unaonesha ni wanaume asilimia 79 ni growers na asilimia 21 ni showers

Kuvuta sigara huweza kufanya uume kuwa mfupi (shorten).
Kusisimka kwa uume ni suala la kujaa kwa damu na kuvuta sigara hupunguza mishipa ya damu kufanya kazi.

Ili uume umwage sperms ubongo hauhitajiki kwani amri kutoka kwenye spinal cord na si kwenye brain. Ingawa ili tendo zima lifanyike kunahitajika muda mwingine wa kuwaza kuhusu sex.

Madaktari huweza kutumia ngozi inayotokana na govi la uume uliotahiriwa kwa ajili ya kupandikiza ngozi kwa watu waliungua na gomvi moja huweza kuzalisha 23,000m2 za ngozi.

Mwanaume aliyetahiriwa anaweza kurudishiwa hali yake ya kutotahiriwa upya akitaka. Kinachofanyika ni kuvuta ngozi iliyobaki karibu na pale walitahiri.

Ni mwanaume 1 tu kati ya 400 anayeweza kugusa uume wake kwa mdomo.

Wastani wa tendo la ndoa kwa watu wote huisha baada ya dakila 2 na sekunde 50, hata hivyo wanawake huendelea kujisikia raha zaidi kwa wastani wa dakika 5 na sekunde 30.

Kadri mwanaume anavyokuwa na uume mrefu anakuwa na uwezo wa kurusha sperms mbali zaidi kuliko mwenye uume mfupi.

Utafiti unaonesha wanaume wenye sura nzuri wana sperms bora zaidi. Hii ni baada ya watafiti kuweka picha za wanaume wenye sura nzuri, mbaya, na kawaida na wanawake waliambiwa kila mmoja achukue picha ya mwanaume anaona anamfaa, picha zilizokuwa nzuri ndizo zilikuwa na sperms bora na ndizo wanawake walizichagua.

Source: Mike Zimmerman (Germany)

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Je? kama mwanaume anakojoa kabla hata mboo hajaingia je hii hutokana na nini? ni kawaida au?

Lazarus Mbilinyi said...

Dada Yasinta,

Umeuliza swali zuri, hata hivyo matatizo mengi ya mwanaume kuwahi kukojoa mapema ni ya kisaikolojia zaidi na nimeeleza sana kwenye post za huko nyuma unaweza kusoma na kuzipitia. Naomba angalia post za mwezi March na April na May zinazungumzia sana jinsi mwanaume anatakiwa kufanya ili kuhakikisha uume wake unakuwa umedinda kwa muda mrefu ili aweze kumfikisha mke pale anahitaji.
Hilo tatizo lipo na linaweza kuthibitiwa.

Anonymous said...

Hivi hayo Mazoezi ya Dr Kegel ya misuli ya PC yakoje? ebu nifafanulie jins=i ya kuyafanya

Anonymous said...

Hivi hayo Mazoezi ya Dr Kegel ya misuli ya PC yakoje? ebu nifafanulie jins=i ya kuyafanya

Lazarus Mbilinyi said...

Kwa wewe uliyeuliza mazoezi ya DR Kegal, unaweza kupitia post za nyuma hasa mwezi June 2008 zenye kichwa "Tetesi kuhusu uke kukaza, Je, chini kunapwaya sehemu ya kwanza na ya pili au fungua hapa http://mbilinyi.blogspot.com/2008/06/tetesi-kuhusu-uke-kukaza_20.html


Ikiwa una swali unaweza kuuliza tena.

Usomaji mwema na asante sana