"Marriage is our last, best chance to grow up."

Wednesday, August 6, 2008

Sperm, Seed, Mbegu

Kila mmoja wetu maisha yameanzia hapa kwenye hii picha


Mbegu za kiume au sperms (kingereza) kwa jina la kisayansi huuitwa Spermatozoan neno la Kigiriki lenye maana mbegu inaoishi (living seed)


Vitu vinavyosababisha kuwa na kiasi kidogo cha Mbegu (sperms)

Kuwa infected katika viungo vinavyozalisha sperms

Kuvaa nguo (chupi) zinazobana sana,

Kuoga maji ya moto sana,

Kukaa kwa muda mrefu sana (masaa mengi),

Kuwa na unene unaozidi (over weight),

Tendo la ndoa mfululizo kila siku,

Kuvuta sigara,

Kuutwika (pombe kupita kiasi),

Kuchoka kimwili na akili,

Ukosefu wa madini ya zinc (bora misosi na si misosi bora)

Matumizi ya steroids,


No comments: