"Marriage is our last, best chance to grow up."

Friday, August 15, 2008

Swali

A question had appeared in an examination, which read:

"Give four advantages of Breast milk."

One student began to answer the question:

1. No need to boil
2. Cats can't steal them
3. Available whenever required

But the fourth point eluded him. When there were barely

a couple of minutes left for the exam to close, the much

Required fourth point flashed to his mind. So he

Completed the question by writing:

4.
Available in attractive containers.


Ukiacha swali la hapo juu, suala la akina mama na mabinti wa Kiafrika na utamaduni wetu wa kiafrika wengi wanasema tabia ya wanawake kuacha matiti wazi si utamaduni wetu, hata hivyo ukiangalia historia, jadi na sehemu mbalimbali za Afrika bado wanawake hujimwaga matiti nje kwani matiti ni chakula cha mtoto.
Mzungu yeye yupo radhi aache sehemu nyeti wazi, lakini si matiti kwani kwake kuwa uchi ni matiti kuwa nje na akina mama wanaonyonyesha wanatakiwa kuficha kabisa matiti (wazungu)

Je, na wewe unaamini matiti kuwa wazi si ustaarabu na si utamaduni wa kiafrika na kwamba lazima yafichwe na si kuonekana wazi mbele za watu?

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Labda ni tofauti kwani kwa hapa sweden hasa kipindi hiki cha joto akina mama wanatembea uchi kabisa (matiti nje) si unajua wanaota juu kupata rangi. Afrika kuna sehemu wao pia wanatembea bila kuvaa nguo na pia kuna sehemu ni kweli mila msichana haruhusiwi kuonyesha matiti kwa baba pia kaka zake au nimekosea?

Lazarus Mbilinyi said...

jaribu kurudi miaka ya nyuma sana wakati wazazi wetu kama vile wazazi wa bibi zetu enzi zao kabla ya nguo hizi tunavaa kuwepo africa je wanawake hasa mabinti walikuwa wanafunika vipi matiti yao wanaume wasione?

Naamini dada Yasinta unajua sana somo la historia.

Yasinta Ngonyani said...

asante kwa sifa nzuri lakini unaweza kuniambia kwa nini unaamini hivvyo. Mmhh raha kweli