"Marriage is our last, best chance to grow up."

Saturday, August 30, 2008

The willingness to listen, really listen, when someone is speaking, is the foundation of understanding, upon which good communication is built.
Lucy MacDonald

3 comments:

Anonymous said...

Kaka upo sawaaa Kabisa ila kuna wale wanaoongea tu bila kusikiliza na hao je tuwaweke wapi? Kuna wale hata kabla hujamaliza kusema kitu wao tayari walishajua nini wataka kuongea kumbe sivyo na haooo je? Tupe elimu kidogo, Nawatakieni Nice week end.
Msafiri

Yasinta Ngonyani said...

Namuunga mkono ndugu aliyetangulia ni kweli kabisa. Na inatakiwa kusikiliza kwa namna yake kama unamsikiliza mtoto au mtu mzima ni lazima muwe kima kimaja yaani kama ni mtoto ni lazima muwe na urefu sawa kwa hiyo inachobidi ni kupiga magoti au kukuka. Na kumsikiliza kwa makini na kumjibu. Na pia kama unaongea na mwenzako (mtu mzima) usiwe na haraka kaa chini na umsikilize. Halafu sasa sio kusikiliza tu kwani inapendeza kama na wewe unasikilizwa. Usitazama kushoto wakati unayeongea naye amekaa kulia ni lazima mtazamane ana kwa ana

Anonymous said...

excellent points and the details are more precise than elsewhere, thanks.

- Murk