"Marriage is our last, best chance to grow up."

Friday, August 1, 2008

The World's Sexiest Fruit!

Avocado (Parachichi) ndiyo the "World's sexiest fruit" pamoja na kuwa na viini muhimu kwa ajili ya afya ndani ya mwili (vitamini E, C, protein na fat pia nje ya mwili ni tunda lenye manufaa zaidi kama kulinda ngozi isionekane imezeeka, vilevile kulinda ngozi dhidi ya mionzi hatari ya jua (UV), moshi na pollution

Salad iliyotengenezwa kutokana na tunda la avocado, naamini wakazi wa Mkoa wa Mbeya - Tanzania wanalifaidi sana.

No comments: