"Marriage is our last, best chance to grow up."

Thursday, August 14, 2008

You cannot change the past but you will ruin the present if you keep worrying about the future.

7 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Mimi nilikuwa nawaza kinyume ya kwamba ni lazima kuwaza maisha ya baadaye ili kuishi

Lazarus Mbilinyi said...

Upo sahihi lazima kuwaza maisha ya baadae na lazima uwe na malengo ya muda mrefu na mfupi.
Kitu cha msingi ni kwamba usijute kwa kuangalia yale ambayo yalishapita kwani huwezi kuyabadilisha na pia usiogope yaliyombele kwani unaweza kuharibu hata unayofanya sasa hivi.
Dada kumbuka watu tunaachana kiuwezo kwa sababu wengine wanawaza mbali sana hata miaka 200 ijayo wakati wengine wanaangalia historia zao na kukata tamaa.
Haijalishi umezaliwa familia maskini kiasi gani bado unauwezo wa kuwa tajiri kwa kadri unavyowaza na kutenda.
Your future is now and depends on how you think big now.
Naamini wewe una malengo ya baadae na unayafanyia kwazi.

Ubarikiwe

Yasinta Ngonyani said...

amen! asante

Jacqueline said...

Asante Kaka Lazarus kwa Elimu Unayotupatia kupitia Blog yako hii
Jacqueline Ngowi-Tanzania.

Lazarus Mbilinyi said...

Dada Jacquline,
Asante sana kwa maneno mazuri, naamini tukishirikiana bado tunaweza kufanya dunia mahali salama kuishi, Muhimu tusikate tamaa kwani huwezi jua kesho nini kitatokea, yawezekana kesho utakuwa na maisha tofauti hivyo Be strong and keep on Going!

Ukiwa na swali pia unaweza kuniuliza tukashauriana kwani hii ni dunia yetu hatuna nyingine!

Upendo daima

Lazarus

Anonymous said...

ndg mbilinyi salaam...blog yako ni nzuri na inaelimisha...kuna vitu vingi vya kujifunza toka kwenye blog yako1
mungu akubariki.
james-DSM,TZ.

Lazarus Mbilinyi said...

Kaka James,
Asante sana kwa comments zako, nashukuru sana kwa kupita hapa na kuangalia kile kinakufaa na kujifunza naamini kwa pamoja tunaweza hivyo ukiwa na ushauri, maoni, somo au chochote jisikie huru kuchangia.

Karibu sana, I am very proud of you!

Thanks

Upendo daima