"Marriage is our last, best chance to grow up."

Saturday, September 20, 2008

Hawavumi lakini wamo!
Hawa ni wananchi wa Papua New Guinea wakihakikisha na wao hawapitwi mbali na ICT.
Ukitaka kujua ni akina nani angalia wanaume wamevaaje au bonyeza http://mbilinyi.blogspot.com/2008_07_01_archive.html

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Haya sasa hapo ipo kazi kweli, lakini sasa labda wanahitaji mwl.

Lazarus Mbilinyi said...

Usinichekeshe!
Kwani hapo humuoni mwalimu wao, hawa jamaa kwao unaweza kuwa Professor na madegree yako ukirudi kwa community lazima uwe kama wao hakuna kuvaa kiatu na PHD yako kama mwanaume lazima uvae Koteka.
Huyo ameshika Laptop ndo mwalimu wao na inaonekana ni mtaalamu wa IT.