"Marriage is our last, best chance to grow up."

Sunday, September 7, 2008

Jumapili Njema

Kuwa na hofu ya Mungu ni jambo la msingi ili kuweza kuishi maisha safi na kuwa watu wazuri katika jamii zetu. Je, ukiitwa leo mbele ya haki una uhakika utawekwa mahali pema peponi? Usisubiri kiongozi wako wa dini akupe sala inayokuhakikishia utaenda mahali pema peponi, anayeweza kukuhakikishia ni wewe mwenyewe unavyoishi sasa.

Sikiliza kwa makini maneno ya wimbo huu kutoka kwa Kwaya ya Mamajusi - Majengo Moshi Tanzania.

Nakutakia Jumapili njema

Mungu akubariki sana!

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

jumapili njema na wewe pia familia yako. Na pia ubarikiwe pia

Anonymous said...

Kaka, Mimi nimependezwa nayo, Asante sana, Mbarikiwe na mungu awe nanyi nyote,
Msafiri