"Marriage is our last, best chance to grow up."

Sunday, September 21, 2008

Jumapili Njema

Nakutakia Jumapili njema kwa wimbo Uitwao Haleluya Kembo ambao umeimbwa na mabinti wa DRC- Congo

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

haya bwana nimeusikiliza wimbo nimefurahi nadhani jumapili imeshakuwa njema. haleluya jumapili njema nanyi pia

Lazarus Mbilinyi said...

Asante sana,
Nami nawatakia jumapili njema kabisa naamini weekend ni wakati mzuri kuwa na familia.

Ubarikiwe na Bwana