"Marriage is our last, best chance to grow up."

Tuesday, September 16, 2008

Wanawake ni kama Mawimbi

Mwanamke akijisikia vizuri basi furaha yake humpeleka kuwa juu sana (peak) na mood ikibadilika basi hali yake hubadilika ghafla na kuvunjika hadi chini kabisa kama mawimbi, wakati huohuo akiwa chini (low) sana kihisia anaweza kubadilika mood tena na kuanza kupanda juu kama mawimbi.
Wakati akiwa juu kileleni katika hisia zake basi hujisikia vizuri hata hutoa upendo wake kwa wengine na pia kitendo cha kuwa chini sana husababisha upweke ndani yake na hapo ndipo anahitaji mwanaume au mtu yeyote ambaye anaonesha caring na kumsikiliza.
Anaokuwa chini kihisia basi love tank yake emotionally huhitaji kujazwa!
Je, dada zetu na mama zetu huwa mnajisikia kupanda na kushuka kwa mood kama mawimbi?
Tujadili!

5 comments:

ashura said...

Oh yes, they do experience changes in Mood and most of them they feel ***** but more emotional towards their partners as the hormonal changes their levels. A lot of factors in women's life such as hormonal imbalance, menstrual cycle, menopause, pregnancy, hypothyroidism, any endocrinal abnormality or other biological problems. Excessive stress leads to depression and mood swings.

Yasinta Ngonyani said...

Sawa kabisa kwa uzoefu wangu ni kweli wanawake ni mawimbi. Kuna kuwa na kipindi utakuta tunakuwa wakali kiasi kwamba haiwezekani kuongea na huu ni wakati tupo mwezini ila sio wote ni baadhi tu.Na baadaye ukishapita ule muda unakuwa tena kama kawaida ila si raha kuwa hivyo ni kazi sana kwa familia lakini ndo hivyo tena. sijui kama nimesema kama ulivyotaka.

Anonymous said...

Hi,Kuna mume hukumpiga mkewe kila siku ila mkewe hutenda mema kwa mumewe.Jamaa akaamua kuuliza kwa mkewe iweje anampiga na kumuuzi lakini yeye humjali tuu mkewe akasema anajua ana amani moyoni ndo maana anampa raha mumewe kwani ataishia kwenye moto akifa.mumewe kaokoka,
Msafiri

Anonymous said...

Kaka Msafiri mwambie huyo mwanaume mambo ya kupiga wanawake yamepitwa na wakati, mwanamke anapigwa kwa zawadi si mangumu.

Anonymous said...

Du hii kali, lakini ukweli ni kuwa mwanamke akifurahi kafurahi kweli na akichukia hivyo hivyo.