"Marriage is our last, best chance to grow up."

Thursday, October 2, 2008

Harusi zingine kazi kwelikweli!

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ni kweli kazi kweli kweli kwani hapa anafanya nini anatapika au. Naona yupo kama ile hadhithi ya jogoo kichwa chini miguu juu.

Anonymous said...

Kweli inachekesha, Ila ni kweli mambo ya harusi yana tamaduni zake na tamaduni zingine ukizisikia unaweza kuvunja mbavu.
Nahisi huyo alikuwa ananyweshwa mbege

Bwaya said...

Inachekesha lakini inafundisha. Kwamba harusi ni sehemu ya utamaduni. Hao hapo wanaonekana kufurahia utamaduni wao hata kama unachosha pengine.

Swali: kwa nini sisi utamaduni wa harusi zetu unapotea? Tunataka kuiga kila kitu kutoka magharibi. Kwa nini?

Leo hii ukitaka kuolewa bila kuvaa shela kila mtu kanisani atakushangaa. Yaani kuna watu wanafikiri shela ni jambo la kidini!

Huwa nafikiri kwamba bado tunayo safari ndefu, kuyafanya mambo yetu ya kiimani katika ukamilifu wake lakini katika mazingira ya Kiafrika.

Lazarus Mbilinyi said...

Bwaya nashukuru sana kwa comments zako na pia nashukuru sana kwa kunitembelea unakaribishwa sana.
Ni kweli wakati mwingine jamii zetu tunashangaza sana kuiga kila kitu kutoka ulaya au Amerika na kuacha jadi zetu na tamaduni zetu, kwanza hawa watu (weupe) siku hizi mambo ya familia ndo yanapotea kama endangered species za wanyama na mimea natukiendelea kuwaiga wote tutakuwa Kichwa cha mwenza wazimu.
Tujiamini tudumishe utamaduni wetu na malezi bora ili kuwa na familia na jamii bora duniani.