"Marriage is our last, best chance to grow up."

Monday, October 13, 2008

Je, Upweke ni Ugonjwa?

4 comments:

Anonymous said...

Upweke si ugonjwa ila napenda kuwashauri wale wale wote walio wapweke wa jichanganye na KUTEKI IT EASY Be blessed
Msafiri

George said...

habari kaka Lazalus,hakika upweke ni ugonjwa,kwa sababu mungu ameumba vitu viwili viwili,viweze kushirikiana kwa maana upungufu wa kimoja ni tatizo (ugonjwa), ukianza bina damu mwenyewe ana viungo muhimu viwiliviwili ili vishirikiane, macho,pua,mikono,miguu hata baadhi ya viungo vya ndani ya mwili ni x2. pia pana mwanamke na mwanaume yoote hiyo ni kumaanisha upungufu wa mmoja ni tatizo. mtu huwa mnyonge sana anapokosa mwenza,lakini akimpata huchangamka na, pengine hunenepa kabisa. kumbe alikuwa na ugonjwa wa upweke.

Anonymous said...

Upweke si ugonjwa ila napenda kuwashauri wale wale wote walio wapweke wa jichanganye na KUTEKI IT EASY Be blessed.
Msafiri

Bwaya said...

Upweke si ugonjwa ila unaweza kusababisha ugonjwa hatua za dharura zisipochukuliwa