"Marriage is our last, best chance to grow up."

Wednesday, October 15, 2008

Moja ya usafri wa watoto wa shule huko India.
Kazi kwelikweli!

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

kweli hapo kazi kweli kweli si afadhali hata ya vile vipanya toka songea-peramiho

Lazarus Mbilinyi said...

Ni kweli heri nya vipanya issue je, makondakta wa vipanya watakubali kuwachukua wanafunzi?

Kazi kweli!