"Marriage is our last, best chance to grow up."

Monday, October 6, 2008

Ni kujitoa

Kuwa na mahusiano yenye afya kwenye ndoa au uchumba huhitaji nguvu za ziada wakati mwingine.
Hakuna kitu kizuri kama kuwa na mahusiano bora.
Pia hakuna kitu kizuri kama kupendwa na Yule unayempenda.

Hata hivyo kazi inahitajika kuhakikisha mapenzi yanadumu na kudumu kwani kuna milima na mabonde.
Pia bila kuvumiliana, kuchukuliana na kumtanguliza mwenzako kwa kusameheana na kutiana moyo bado mahusiano yanaweza kufika mahali yakashindikana.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kaka mbilinyi ni kweli mengine yoto yanaweza kufanyika kirahisi sana lakini tunapokuja kwenye jambo la kusamehe hapo inakuwa kazi sana. Inachukua muda sana, nadhani kila mtu nasema nani aanze kwani mie sina kosa.au?

Lazarus Mbilinyi said...

Upo sahihi kabisa dadangu,
Ni kweli kila mmoja hjiona ndiye ambaye yupo sahihi siku zote. hata hivyo wakati mwingine inabidi mt ukubali kwamba umekosa na unahitaji kuomba msamaha na pia mwenzako akikuomba msamaha msamehe na kusahau kabisa.