"Marriage is our last, best chance to grow up."

Friday, October 31, 2008

Usingizi Huwa mtamu

Sex husaidia usingizi kuwa mtamu hasa ikifanywa punde tu kabla ya kulala.
Utafiti unions kwamba tend Zima la ndoa huweza kupunguza joto na mwili kujisikia relaxed kitu ambacho hupelekea kupata usingizi mnono.

Wataalamu wanatoa tahadhari kwamba kufanya mazoezi ya nguvu kabla ya kulala si jambo zuri hata kama zoezi huwa linaupa ufanisi bado hufanya ushindwe kupata usingizi ila tendo la ndoa kabla ya kulala ni utaratibu mzuri kukupa usingizi mnono pia sex husababisha uwe na usingizi mzito (deep)

Homoni (norepinephrine, serotonin, oxytocin, vasopressin, nitric oxide na prolactin)
wanazozalisha mwanaume na mwanamke baada ya kufika kileleni (orgasm) huwezesha kuwapa relief fulani inayosababisha kulala usingizi.
Pia homoni ya prolactin husababisha mtu kujisikia ameridhishwa.

Pia watu wengi wakiwa kwenye tendo la ndoa huwa hawa- focus kwenye hivyo hupumua (breathing) so wakishamaliza wanakuwa na deni la oxygen matokeo yake ni kijisikia usingizi na kulala folilo au fofofo.
Pia wapo mwanaume na wanawake kutokana na tension ya kufika kileleni baada ya kushuka huwa wamechoka hivyo kupata usingizi wa kufa mtu.

Pia kemikali za Oxytocin, melatonin na vasopressin ambazo pia huzalishwa wakati wa kufika kileleni hupumua stress na mtu hujisikia relaxed then sleepiness.

Ukipanda mlima kwa miguu hasa kama ni mrefu lazima upate resting.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Mmm hapo naona usingizi unanoga kweli maana inaonysha jinsi mahaba yalivyokolea.Mapenzi ndi kitu cha ajabu sana

Unajua kufanya mapenzi inabidi uwe katika mwili mzuri nina maana ukiwa mnene utapata shida sana maana hata zile style hutaweza

Lazarus Mbilinyi said...

Upo sahihi,

Ila hata watu wanene wana style zao pia ili kufurahia uumbaji wa Mungu.

Upendo daima