"Marriage is our last, best chance to grow up."

Monday, November 3, 2008

Mpende, Mtunze, Mlinde, Mbusu

Siku zinayeyuka kama barafu kwenye jua na mwaka huooo una katika.
Je, mke wako au mume wako ameweza kukupa muda (quality time) kuwa na wewe kiasi gani tangu January 2008?
Wewe ndo unajua.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Kama ndio hivyo basi itabidi wanawake tuwe wembamba. Bila hivyo wanaume mtaumwa kweli migongo. Ila hapo wenyewe wamependeza kweli na kweli tupendane, tutunzane, tulindane na tupeane mabusu. Hii ni jinsi mimi ninavyoona