"Marriage is our last, best chance to grow up."

Tuesday, November 4, 2008

Ungefanyeje?

Unarudi nyumbani umechoka kutoka kazini ile kufika tu unakutana na kazi ya ubunifu ya akina dogo namna hii.
Je, utafanya nini?

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nadhani ningetamani dunia ipasuke ili niingie ili kuepuka kufanya kitu ambacho sitaki kufanya

Lazarus Mbilinyi said...

Binafsi ningeishia kucheka tu kwani inaonekana in future wwatakuwa wapaka rangi wazuri sana, maana hata TV haijasalimika.

Pia wamefanya kazi maana nahisi ilikuwa ngumu si utani kupaka rangi hadi kopo zima linaisha.

Yasinta Ngonyani said...

si unaona wamejipaka na wenyewe pia au wanaona mama na baba wanakuwa muda wote katika kuangalia Tv tu ndo maana wamefanya hivyo

Anonymous said...

mmmh. hata mi nadhani ningecheka sana, ila nadhani mke wangu angeweza kupasuka kwa hasira maana yeye! huwa hataki "ujinga"

Anonymous said...

nimependa hiiiiii?!!!!!ningecheka sana,maana inaonyesha kuna kipaji flan ndani yake,kwanini wa base kwenye rangi na sio vingine,huenda in future watakuwa wachoraji wazuri wa michoro ya rangi,au designers,...huwezi jua....