"Marriage is our last, best chance to grow up."

Friday, December 12, 2008

The difference between School and Life is:
In School you are taught a Lesson and then given a Test.
In Life you are given a Test that teaches you a Lesson.

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Na majaribu/mitihani tunayoipata wanadamu katika maisha ni makubwa/mikubwa mno. Kiasi kwamba kuna wakati unatamani dunia ipasuke na iingie. Afadhali hata ya kujifunza na kupata mtihani. kuliko kupata mtihani na kujifunza kazi kwelikweli!

ni mtazamo wangu tu.

Lazarus Mbilinyi said...

Ni kweli majaribu ni makubwa mno, na likiisha jaribu hili linaanza hili hata hivyo hakuna kukata tamaaa angalia jarbu au mtihani kama opportunity ya kusonga mbele na kufanikiwa.
Kwa kuwa upo duniani na unatafuta mafanikio huwezi kukwepa majaribu na mitihani ya maisha.

Fikirikwanza said...

NOT TRUE , IN LIFE YOU ARE GIVEN SOLUTIONS TO ANSWER QUESTIONS. BUT IN SCHOOL WE SEAT FOR EXAMINATIONS TO GET QUALIFICATIONS.OK?

Lazarus Mbilinyi said...

Fikiri kwanza,

Asante sana kwa comments zako nahis wewe ni liberal halisi

Anonymous said...

kusoma blog nzima pretty mema