"Marriage is our last, best chance to grow up."

Sunday, December 28, 2008

Merry Christmas and Happy New Year 2009

Nawatakia Christmas njema na Heri ya mwaka mpya 2009 wapendwa wote na wasomaji wote wa blog hii.
Naamini mtakuwa na sherehe mbalimbali za kifamilia na kijamii kitu cha msingi ni kukumbuka kwamba baada ya mwaka kuanza kuna ada za wanafunzi na kutimiza malengo mapya ya mwaka 2009.
Mungu awabariki
@@@@@@@@@@@@@@@@@

12 comments:

Yasinta Ngonyani said...

heri ya christmas na hwri kwa mwaka mpya 2009 na wewe pia na familia yako. na tunategemea mambo mapya mwaka uanzapo. ni hayo tu

Lazarus Mbilinyi said...

Ni kweli dada Yasinta,
Mwaka 2009 ni mwaka wa kazi na mambo makubwa.
Think the unthinkable and make the impossible possible in 2009.

Bila kusahau kuhakikisha mahusiano yako na yule umpendaye yanakuwa mazuri zaidi na yanaleta raha.

Upendo daima!

Anonymous said...

DEAR KAKA
HAPPY NEW YEAR AND HAPPY CEREBRATION FOR JESUS BIRTH
WITH LOVE
MRS ATUPELE

Patrick said...

Hello brother Mbilinyi,
Hakika Shukrani na utukufu vimrudie Mungu pekee aliyetutunza mwaka mzima wa 2008. Mungu akubariki pia kwa kazi yako nzuri kwa mwaka mzima wa 2008. Bwana azidi kukutia nguvu katika utumishi huo.
Makala zako zinanibariki sana.

Anonymous said...

WISHING U HAPPY NEWYEAR. MUNGU AKUBARIKI KTK MWAKA HUU UJAO 2009. LONG LIFE AND HAPPINESS WITH LOVE. I LOVE U....

Ashura Mbeyu
USA

Lazarus Mbilinyi said...

Kaka Patrick,

Nashukuru sana kwa kunitia moyo na kwamba umefurahia na kujifunza kwa kupitia hapa.

Kuanza kwa mwaka 2009 ukweli tutapata mambo mapya na mazuri kuhusiana na ndoa, jamii, na maisha yetu kwa jumla na wale tunaowapenda.

Nakutakia mafanikio mema kwa mwaka 2009.

Upendo daima

Anonymous said...

Hi,
Kaka mbilinyi May the Joyful Spirit of Christmas surround you and your families, May this year ahead be Blessed with Happiness and Love, and friendship be what you are looking for, and instead you find a kingdom!
Cha muhimu mioyo yetu!!
Wako katika Bwana
Msafiri
Arusha - Tanzania

Fita Lutonja said...

Kaka Mbilinyi mbona umepotea kabisa kwenye blogu umetingwa na shughuli gani? Tunasumbili mambo kaka

Lazarus Mbilinyi said...

Kaka Fita,
Ukweli Nipo ila nilikuwa na Vacation kidogo kwa ajili ya Christmas na mwaka mpya na famili na si muda mrefu nitarudi kwa kasi ya ajabu na mambo mapya kabisa.

Asante sana na Upendo daima

Mary Damian said...

Nakutakia Baraka za Bwana katika kazi zako!

Mary Damian said...

Nakutakia Baraka za Bwana katika kazi zako!

Lazarus Mbilinyi said...

Dada Mary,

Asante sana kwa kunitia moyo nami nakutakia mafanikio mema na baraka tele na nyingi sana mwaka 2009.

Mungu akubariki sana.