"Marriage is our last, best chance to grow up."

Wednesday, January 14, 2009

Divine Nectar (ii)

Hata wadudu kama nyuki wanajua sana nectar ni kitu muhimu kwa ajili ya kutengeneza asali Pia kabla ya kusoma hapa ni vizuri ukasoma kwanza hapa http://mbilinyi.blogspot.com/2009/01/divine-nectar.html
Taratibu za mwanaume kumsaidia mwanamke kutoa divine nectar:
Divine Nectar huzalishwa na glands zinazojulikana kwa jila la Skene sawa na zile za Prostate ambazo hutengeneza sperms kwa mwanaume.
Fluid inayozalishwa na Skene si mkojo lakini hufanana na mkojo ingawa yenyewe huwa na glucose na prostatic acid.
Muundo wa kikemia wa hii fluid hufanana zaidi na semen za mwanaume ila hakuna sperm kuliko mkojo ingawa huwa majimaji kama mkojo.

Hii ni kujulisha kwamba mwanamke huweza kukojoa akifika kileleni na hutoa fluid ambayo hujulikana kama divine nectar au amrita au juice.

Wakati mwanamke anasisimuliwa kimapenzi au wakati wa mapenzi glands za Skene hutoa secretions ambayo husukumwa nje kwa speed kupitia urethra (kama mwanaume anavyotoa sperms)
Glands za Skene zimejibana kwenye ukuta wa kibofu cha mkojo na zipo upande wa juu wa ukuta wa uke pia zimetengenezwa kwa erectile tissues.

Divine nectar huweza kumtoka mwanamke baada ya kuponywa (healing) eneo la G- spot (Graffenberg spot).
Kila mwanamke anauwezo wa kufika kileleni (orgasm) kwa kupitia G- spot na mwanaume ndiye anayeweza kusaidia.
Wewe mwanaume kwanza lazima uwe na mtazamo kwamba wewe ndiye healer au mtu wa karibu kumsaidia na zaidi wewe ndiye mtu wa ku-guide kwamba lazima mkeo atoe divine nectar.

Pia mwanaume lazima ufikirie pia hicho kipisi cha uume ni kitu ambacho unaweza kuingiza kwenye mwili wa mwanamke na ukishamaliza unatoa na kwenda zako.
Fikiria kwamba uume wako ni Nuru halisi ya kuangaza raha ya mwanamke katika mwili wake na kufungua roho na nafsi yake ili ajisikia ni mwanamke aliyekamilika kimwili, kiroho na kihisia.
Ili mwanamke aweze kuwa kisima cha kutoa divine nectar ni kupata uponyaji halisi wa eneo hili la G- spot au sacred area kwa kufanyiwa massage au kukandwa.

G- Spot ni eneo ambalo lipo upande wa mbele kwa ndani kwenye uke wa mwanamke na unapopitisha kidole utakugundua kwamba ni eneo vimikunjo kama lips za midomo na si smooth
Baadhi ya wanawake huweza kupatikana kirahisi na wengine ni ngumu zaidi ingawa mwanamke akiwa amesisimka huweza kupatikana kirahisi.

Hiki kitendo ni muhimu kifanywe na mwanamke kwa kujitoa kumpa raha mwanamke bila kutegemea kupata return yoyote kwake.
Kwanza mwanaume lazima ajenge trust kwa kumpa mahaba ya uhakika kwanza kwa kuanza naye kwanza kwa mwanaume kuhakikisha kucha za vidole vya mikono zipo safi na zimekakatwa vizuri then unaweza kwenda kuoga naye (kumuogesha au kuoga pamoja), pia hakikisha chumba umekiandaa na kuwa na sura ya kimahaba, unambusu passionately hakikisha mnapumua pamoja, huku mkitafakari mapenzi yenu kwa uwazi ili kuunganisha moods zenu na kupeana hamu zaidi kama si kuipa miili joto la kimapenzi.

Anza kwa kumfanyia Massage mapaja, hips, na eneo chini ya kitovu, panda tumboni na kuzunguka matiti, upande wa ndani wa mikono na rudi tena kwenye mapaja huku ukizambaza raha mwili wako wote ukirudi hadi dakika 5 hadi 10 hivi.
Hapo mwanamke atakuwa amerelax na yupo tayari kukuruhusu uendelee kwenye uke wake.
Then kwa upole kabisa anza kuchezea kwa ustadi kabisa kuta za nje za uke wake na kisimi kama vile ni vito vya thamani umepewa mikononi mwako.
Ni vizuri kumuuliza hasa ukiona ameanza kuhema tofauti kama unaweza kuingia kwenye sacred place au kwenye bustani .

Baada ya kuruhusiwa ingiza kidole (kidole cha kati huku kiganja kikiangalia juu) ndani ya uke huku ukichezesha au massage kwa alama kama vile unamuita mtu kwa kidole( njoo).
Ongeza mgandamizo kidogo ili na yeye asikie aina fulani ya mguso, endelea kuchezea kwa kuzungusha kidole chini na juu au kwa vibration, au zigzag au vyovyote hasa kutokana na yeye anavyo respond huku mkono mwingine ukichezea kisimi.
Pia unaweza kuongeza kidole kingine kwani baadhi ya wanawake hujisikia raha au kusisimka zaidi hasa kukiwa na vidole viwili.
Hakikisha macho yako na macho yake yanangaliana huku mkisamabaza umeme wa upendo baina yenu na huku kila mmoja akimsoma mwenzake anaendelea vipi
Pia wakati mnaendelea na hili zoezi ni vizuri mwanaume kuongea maneno mtamu yanayoonesha anafanya uponyaji wa hii sehemu huku mwanamke akimshukuru mwanaume kwa kazi kubwa anayofanya .

Kazi ya mwanamke kwenye hili zoezi la kufanya massage G-spot ni kulala, kuenjoy na kutoa feedback kwa mwanaume (ingawa mwanamke lazima ujiandae kwani unaweza kujisikia unataka kukojoa haja ndogo au unaweza kujisikia unataka kulia au unaweza kujikuta unakumbuka jinsi hisia zako zilivyoumizwa huko nyuma)
Hili kitendo lazima kirudiwe na kufanywa zaidi miezi miwili, mara mbili kwa wiki na kama kila kitu kipo shwari basi mwanamke anaweza kuanza kutoa divine nectar ingawa inatokana na historia yake ya mahusiano ipoje kama amewahi kubakwa au kudhalilishwa kijinsia au kuumizwa wakati wa tendo la ndoa huchukua muda mrefu kupata healing kwenye G spot.

Mambo ya msingi kuzingatia
Mwanamke au mwanaume kufahamu location ya G-spot
Uwezo wa kusababisha mwanamke akisijia raha (pleasure) anaposisimuliwa au kufanyiwa massage kwenye G spot
Mwanamke kuondoa hofu na mashaka au kujisikia anataka kutoa mkojo hasa anaposisimuliwa G-spot hivyo badala la kurelax anaweza kuwa na hofu

Picha chini inaonesha G-spot katika uke
Kama una swali unakaribishwa!

9 comments:

Anonymous said...

Kaka Mbilinyi tunashukuru sana kwa mambo unayotufundisha nina imanikuwa mungu atakubariki sana kwa hili. Si kila mtu anajua nini cha kufanya katika mapenzi kuweni watafiti. Katika mapenzi na ajuae kufanya mapenzi haoni kinyaa au hana aibu!!!! Msafiri

Anonymous said...

hongera sana mbilinyi,kwanza na penda kuanza
nafanya se. na mr wangu ila sajawahi kufikia huko kwenye necta heheheee.......... lakini kuna siku majuzi nilimwambia asiingize mb... kwanza aingize kidole anichezee, basi gafla nilisikia kama kisimi kimejaa maji kinataka kupasuka nilijisikia kama nasimamia vidole, akatoa kidole akaingia mb.. nilikojoa mkojo mweupe sijawahi kuona nilipiga kelelee mpaka akaniziba mdomo, asante kwa mafunzo yako na mengine toka kwa dinahiciousblog nawashukuru sana. god bleessss
mama j.

Lazarus Mbilinyi said...

Mama J.

Hongera sana kwa kuruhusu mume wako kwenda hatua kubwa mbele kwa kukuzoesha kutoa divine nectar, Kumbuka kitu kama hicho ni birth right yako kama mwanamke kufurahia tendo la ndoa.
Mungu akubariki sana na endelea kutia moyo Mume wako kwa kazi nzuri na ikiwezekana mpe zawadi na mwamabie ulifanya kazi nzuri sana my honey.

Upendo daima

Anonymous said...

Sijajua mnatoza ada kiasi gani na pengine itakuwa ghari sana,. Ningepenekeza mfungua chuo kikuu jangwani ila sijui kama hata wanafunzi watakuwa wanapass.
na qualification ni zipi ? ,math au lugha kidogo? ,pengine sayansi ya kilimo.
ok lakini ni kazi njema.

Koero Mkundi said...

Kaka Mbilinyi....

Kaaaazi Kweli kweli!!!!????/

Hili darasa linawafaa sana wanaume, waliozoea kukurupuka.

Blessing..........

Lazarus Mbilinyi said...

Koero Mkundi,

Upo sahihi kabisa, ukishaanza kuzungumzia mambo ya mahusiano wanaume wanahitaji msaada sana ingawa watakataa na kuruka kimanga.
Ni muhimu wanaume tukajua kwamba kukurupuka si jambo jema kabisa.

Upendo daima

Fikirikwanza said...

Unajua akili ya kuku ipo hivi : unaweza kumpiga na kumfukuza kwa mawe asiharibu vitu vyako ulivyo vianika ,lakini cha ajabu baada ya second 2 anasahau na anaona kama ulimfukuza miaka miwili iliyo pita. sisemi watu wanaakili kama za kuku ila yawezekana ipo tofauti jinsi ubongo unavyo fanya kazi kazi ya wanaume na wanawake. wanawake wanapika chakula hadi mnasahau kama leo kuna kula ,lakini mwanaume ukimpa hiyo kazi ya kupika utayaona maajabu ya musa,dakika chache tuu mambo yapo poa. kwa hiyo kitu ambacho wanawake wanaona kinafanyika kwa haraka na wanaume ,yeye mwanaume anaona kajitahidi kweli kwenda taratibu na katumia busara zake zote za kuzaliwa. kwa hiyo naona wanaume hawana kosa kabisa na wanahaki ya kukurupuka ni nature yao .

Anonymous said...

Kaka Mbilinyi...hili ni somo zuri na sikuwa na mazoea ya kupitia Blogu yako sasa nimeanzaaaa...nilipata comments na hamasa kutoka kwa Dr. Tizo Lyuu juzi kuhusu 'Divine Nectar', kwakweli hongera sana ndugu kwa kutupa shule nzuri kama ileee! Stay Blessed!Moses Sabuni

Lazarus Mbilinyi said...

Kaka Mosses,

Nashukuru kwa kupita hapa na kujifunza kile umejifunza, nakaribisha maoni yako na chochote ulichonacho, naamini tukiwa na ufahamu mzuri wa wale tunaowapenda na kwamba maisha yetu yote tumeamua kuwa nao inakuwa rahisi jinsi ya kuwa na furaha nao kwani unakuwa una ufahamu.
Ubarikiwe

Upendo daima

Lazarus