"Marriage is our last, best chance to grow up."

Tuesday, January 6, 2009

Divine nectar

Kama maji vile ila ni fluid (sweet smelling) inayotokana na mfumo urogenital pamoja na glands za prostatic za mwanamke.
Huitwa divine nectar au Amrita au the foutain of youth.
Wapo wanawake ambao akifika kileleni (G- spot stimulation) huweza kutoa fluid mfano wa mkojo kupitia urethra (gushing fluid), huwa na sweet smell, huweza kujaa hata kikombe cha chai na huruka umbali wa futi hata 8 na kugonga ukuta wa chumba.

Huu si mkojo na ni haki ya kuzaliwa ambayo mwanamke amepewa na muumba wake hasa linapokuja suala la kufurahia mapenzi na mumewe.
Pia haya maji maji huitwa Amrita au Divine Nectar, au Fountain of Youth huu si mkojo hata kama hutoka kupitia njia ya mkojo ya kawaida.

Hiki ni kitu cha kawaida kwa mwanamke yeyote ambaye anapata mapenzi ya kweli na kukubali hisia zake na kufahamu mwili wake unavyofanya kazi akisaidiana na mpenzi wake.
Hii divine nectar imefahamika pia huweza kutokea hata pale mwanamke akifurahi jambo lingine na si lazima iwe mapenzi tu.
Hujasikia mwanamke alifurahia jambo akacheka na kutoa machozi na kukojoa?

Kila mwanamke anayo potential ya kutoa amrita au divine nectar ila ni pale tu atakapojifunza ku-surrender mwenyewe na kuwa na furaha ya kweli.

Wataalamu wa mambo ya mahusiano ya kimapenzi wanandoa Caroline na Charles Muir wameweza kuhusanisha suala la sex kwamba ni kimwili, kihisia na kiroho.

Mwanamke huweza kufikishwa kileleni (orgasm) kimapenzi kwa kusisimuliwa kisimi (clitoris), uke au G- spot.
Tofauti ya mwanamke kufika kileleni kwa kuchezewa kisimi ni kwamba ile raha huja ghafla kama mwanaume anapofika kileleni (big bang) wakati kufika kileleni kwa uke au G-spot mwanamke hujisikia raha kama mawimbi (waves) kwenda mwili mzima.

Ndani ya uke sehemu ya juu ndani ya ukuta kati ya kufunguka kwa uke na cervix kuna eneo ambalo huitwa G spot na hili eneo liligunduliwa na Gynecologist Ernst Grafenberg mwaka 1944.

Hili eneo huweza kukua na kuhama ambalo wengi huliita ni sacred spot kwa mwanamke huweza kutunza kumbukumbu na hisia za kuumizwa (hurts and pains), infections, abortion, sexual abuse, magonjwa na kitendo cha kutotaka sex na kama hakuna healing huweza ku-shut down na kushindwa kutoa divine nectar.

Ili mwanamke aweze kutoa divine nectar ni lazima hili eneo liweze kuponywa au kuwa activated upya na mwanaume.
Activation hufanywa kwa mwanaume kumfanyia massage zaidi ya mwezi kwa kwa muda usiopungua nusu saa kila wakifanya mapenzi huku mwanaume akimpa wake au mpenzi wake gentle and compassionate love making.
Siku njema kwa leo!

6 comments:

Anonymous said...

Hahhaahhaha sina mbavu kwani kila siku niko darasani na silipi kitu chochote ubarikiwe sana Kaka Mbilinyi, Hiii nimeipenda, Ubarikiwe sana, Swali la uzushiiii umewahi hata siku moja kushuhudi bomba likitoa maji???
Nina maana kwa hao wake zetu?
Msafiri

Lazarus Mbilinyi said...

Wewe Msafiri acha maneno swali gani hilo tena.

Hakikisha mkeo bomba la maji linamwagika sawasawa.

Upendo daima.

Lazarus

Anonymous said...

Mmmm Nimekubali kaka japo hujajibuuuuu, Cheers kaka ubarikiwe, Nikutakie siku njema na Bibiee, Mpe salamu na hongera kedekede, haahahhaahahhaa usimsahau Mtoto lakini mwambie akikua awe kama baba yake.
Regards Msafiri

Anonymous said...

Mh hii imenigusa kidogo,ni kitu kizuri,ila mimi sijawahi kuona hiyo divine nectar hata siku moja,na nina 2.5yrs ya ndoa,ila hua ninaenjoy sana sex na husband wangu,maana kama ni shule ya mapenzi basi alifaulu vizuri,ila sijawahi kuona hiyo kitu,tufanyeje sasa na sisi tuone hiyo nectar?nahisi kama itakuwa tamu zaidi ya utamu ninaoupata siku zote,Maana mi hua nasikia tu rahaaa,utamuu,inafikia mahali napiga kelele natamani yani sijui nifanyeje,isitoke ilala hukohuko,yani ni raha kwa kweli,ashukuriwe Mungu aliyebariki tendo la ndoa,maana alilibariki haswa ndio maana tunaenjoy like that.Sasa mbilinyi na wadau wote wa blog hii nawapa kazi ya kunifundisha/kutufundisha tufanyeje ili na sisi siku moja tune hiyo nectar?maana nectar kama lilivyo jina ni utamu flani hivi,so help us please,
Love n peace!
Mrembo wa Mr I.

Lazarus Mbilinyi said...

Kwa kuwa wengi wanataka kujua ni jinsi gani wanaweza kuhakikisha wake zao wanatoa divine nectar kila wakati basi naanda somo ili kutoa maelezo jinsi ya kufikia hiyo stage na inahitaji muda mpenzi wako na zaidi upendo wa kweli.

Upendo daima

Anonymous said...

Nalisubiri hilo somo kwa hamu maana niko anctious kuona hiyo kitu!ok kaka mbilinyi andaa kwa utulivu kabisaa,ukileta mezani liwe limeiva watu tule vizuri,tushibe na ikibidi tusaze!
Kila la kheri
Mrembo wa I