"Marriage is our last, best chance to grow up."

Thursday, January 8, 2009

Homoni zingine acha tu!

Muundo wa homoni ya Oxytin kikemikali Mwanaume au mwanamke anapofika kileleni (orgasm) mwili wake huzalisha (release) homoni inayoitwa Oxytin (oxytocin) ambayo husababisha kujisikia furaha na upo relaxed.
Pia hii homoni husaidia kufanya bonding ya kimapenzi kuwa strong kwa hao wawili ambayo wamefanya sex.

Wanawake huzalisha (release) kiwango kikubwa mara tano (5) zaidi ya wanaume na hii ndiyo sababu wanawake wengi huoza kabisa (addicted) na mwanaume anayetembea naye.
Mtasema sana mchana na usiku mtalala, kwani anakuwa blind and deaf indeed.
Ili kuvunja hiyo bond basi inahitajika miaka 2 mizima bila hawa wawili kukutana tena kimapenzi.

Mwanamke akiwa fertile kiwango cha estrogen huongezeka na kifikia kiwango cha juu kabisa.
Mwili wake huzalisha homoni za pheromones ambazo kupitia jasho hupaa hewani na kuwavutia wanaume, Guess what! Your on heat! And serious unataka sex ili dunia ijae!

Mengineyo!
“A man has to have sex to feel good, a woman has to feel good to have sex”
Wanaume wanaojua hili hawatumii muda wao mwingi kufikiria jinsi ya kuongeza ukubwa wa maumbile yao badala yake wanatumia muda mwingi kwa ajili ya kuandika love letter kwa wapenzi wao,
Wanawapa compliments kwa mambo wake zao wanafanya,
Wanawapa zawadi,
Wanawapa mabusu na hugs si chumbani tu, bali asubuhi wanapoagana kwenda kazini na jioni wanaporudi kutoka kazini na kila wakati,
Wanawasilikiza wake zao wanapoongea na kuwapa muda (quality time)
Wanakumbuka siku za kuzaliwa za wake zao na kufanya party.
Wake zao nao hujiona wapo sexy, hujisikia wanatakiwa na waume zao, wanapendwa, waume zao wanawajali, wanajisikia vizuri na wakifika chumbani huwa wanajisikia raha na wanataka mahaba na wakipewa wanafika kileleni.

2 comments:

Anonymous said...

MR mbilinyi asante sana kwahabari hiikuwa wanawake wanakaa 2yrs ndo hamu ya mapenzi ipotee,mimi nna bf wangu tumeachana kabisa ila akiwa na hamu ya sex anakuja kuniomba na mimi hali kadhalika,ila napenda kumsahau niwe mwenyewe kwa muda bila kufanya,ila nitajitahidi kukaa miaka 2 mbali naye,ili nimsahau.thanks

Lazarus Mbilinyi said...

Dada,

So huyo ni boy friend wako si mume wako? kwa nini unaachana naye? na kwa nini akikuomba bado unakubali?

Lengo la mahusiano yenu ni nini?

Kumbuka kitu chochote ambacho hakikupi furaha (sin) ya kweli mara nyingi (1) Hukukalisha hapo kwa muda mwingi kuliko unavyotegemea (2) Utatumia gharama kubwa sana kutoka huko kuliko unavyotegemea (3) Utapata athari kubwa sana za reputation yako kuliko unavyotegemea.

Pia mahusiano kabla ya ndoa yana hasara zake kama sasa hivi magonjwa.
Muhimu kutafuta mwenzi ambaye lengo ni kuoana na kuishi pamoja kama mke na mume then kula raha zote.

Ubarikiwe na Bwana katika kutafuta mahusiano ya kweli.

Upendo daima